0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

16. MLANGO WA KUZIHIFADHI SUNNA NA ADABU ZAKE


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال اللَّه تعالى : {وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانتَهُوا

 {وقال تعالى : {وَمَا يَنطِقُ عَنِ الْهَوَىٰ  إِنْ هُوَ إِلَّا وَحْيٌ يُوحَىٰ

{وقال تعالى : {قُلْ إِن كُنتُمْ تُحِبُّونَ اللَّهَ فَاتَّبِعُونِي يُحْبِبْكُمُ اللَّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ

{وقال تعالى : {فَلَا وَرَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ حَتَّىٰ يُحَكِّمُوكَ فِيمَا شَجَرَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ لَا يَجِدُوا فِي أَنفُسِهِمْ حَرَجًا مِّمَّا قَضَيْتَ وَيُسَلِّمُوا تَسْلِيمًا

{وقال تعالى : {فإن تنازعتم في شيء فردوه إلى اللَّه والرسول إن كنتم تؤمنون بالله واليوم الآخر

{وقال تعالى : {مَّن يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّهَ

{وقال تعالى : {وَإِنَّكَ لَتَهْدِي إِلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ

{وقال تعالى : {فَلْيَحْذَرِ الَّذِينَ يُخَالِفُونَ عَنْ أَمْرِهِ أَن تُصِيبَهُمْ فِتْنَةٌ أَوْ يُصِيبَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ

{وقال تعالى : {وَاذْكُرْنَ مَا يُتْلَىٰ فِي بُيُوتِكُنَّ مِنْ آيَاتِ اللَّهِ وَالْحِكْمَةِ

والآيات في الباب كثيرة


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho.]     [Suuratul Al H’ashri:7]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Wala hatamki kwa matamanio.Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa;]     [Suurat Annajm:3-4]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu.]     [Suurat Al ‘Imran:31]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa.]     [Surat An-Nisaai:65]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho.] Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi nawatahadhari wanao khalifu amri yake, usije ukawapata msiba au ikawapata adhabu chungu.]    [Surat An-Nur:63]     [Surat An-Nisaai:59]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Mwenye kumt’ii Mtume basi ndio amemt’ii Mwenyezi Mungu]     [Surat An-Nisaai:80]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na hakika wewe unaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka]     [Suuratul Ash-shuura:52]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kumbukeni yasomwayo majumbani mwenu katika Aya za Mwenyezi Mungu na hikima]    [Al-Ah’zab:34]

Na Aya katika Mlango huu ziko Nyingi.


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





تتمة التعليق على آيات الباب



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.