0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

156. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Sunna na Adabu zake Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


عنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضي اللَّه عنه عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «دَعُونِي ما تَرَكتُكُمْ: إِنَّما أَهْلَكَ من كَانَ قبْلكُم كَثْرةُ سُؤَالِهمْ ، وَاخْتِلافُهُمْ عَلَى أَنْبيائِهمْ، فَإِذا نَهَيْتُكُمْ عنْ شَيْءٍ فاجْتَنِبُوهُ ، وَإِذا أَمَرْتُكُمْ بأَمْرٍ فَأْتُوا مِنْهُ ما اسْتَطَعْتُمْ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Niacheni kwa mambo niliowaachia, hakika waliangamia wale walio kabla yenu kwa sababu ya kuuliza kwao maswali mengi, na kukhitalifiana kwao na Mitume yao, Basi ninapowakataza jambo liepukeni, na ninapowaamuru jambo, basi fanyeni kwa kadiri muwezavyo. ]      [Imepokewa na  Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.