0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

155. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Amali Hadithi ya 03


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشةَ رضي اللَّه عنها قالت : كان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إذَا فَاتَتْهُ الصَّلاةُ مِنْ اللَّيْلِ مِنْ وجعٍ أَوْ غيْرِهِ ، صلَّى مِنَ النَّهَارِ ثنْتَى عشْرَةَ ركعةً »     رواه مسلم


Kutoka kwa Aisha Radhi za Allah ziwe juu yao Amesem: Alikuwa Mtume anapopitwa na Swalaah ya usiku kwa sababu ya maradhi au jambo linguine,  huswali wakati wa mchana, rakaa kumi na mbili. ]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.