December 13, 2023
0 Comments
باب استحباب كون ساقي القوم آخرهم شرباً
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { لاَ يَشْرَبَنَّ أحَدٌ مِنْكُمْ قَائِماً، فَمَنْ نَسِيَ فَلْيَسْتَقِيء} رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
114. MLANGO WA MAPENDEKEZO YA KUWA ANAYENYWESHA WATU NDIE ANAYEKUNYWA MWISHO.
Imepokewa na Abu Qatada, (Radhi za Allah ziwe juu yake) Amesimulia Mtume ﷺ Amesema: “Mwenye kunywesha watu ndio wa mwisho wao kunywa” [ Imepokewa na Tirmidhiy na amesema Haditi hii ni sahihi.]