0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

771. Riyadhu Swalihina Mlango Wa  ubainifu Wa kunywa Kwa Kusimama Na kubainisa kwamba Ukamilifu Na ubora zaidi Ni kunya kwa Kuketi.

باب بيان جواز الشرب قائماً وبيان أنَّ الأكمل والأفضل الشرب قاعداً


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { لاَ يَشْرَبَنَّ أحَدٌ مِنْكُمْ قَائِماً، فَمَنْ نَسِيَ فَلْيَسْتَقِيء}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira, (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema Mtume ﷺ : Asinywe yeyote katika nyinyi hali ya kuwa amesimama, basi mwenye kusahau na ajichapishe  [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.