0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

116. MLANGO WA INAJUZU KUNYWA KATIKA VYOMBO VYOTE VILIVYO TWAHARA (SAFI) ISPOKUWA KATIKA DHAHABU NA FEDHA NA KUJUZU KUFYONZA – KUNYWA KWA MDOMO KATIKA MAJI YA MTO NA KADHALIKA BILA KUTUMIA CHOMBO WALA MKONO – NA UHARAMU WA KUTUMIA VYOMBO VYA DHAHABU NA FEDHA KATIKA KUNYWA, KULA, KUJISAFISHA NA NJIA ZOTE ZA MATUMIZI

باب جواز الشرب من جميع الأواني الطاهرة غير الذهب والفضة وجواز الكرع – وَهُوَ الشرب بالفم من النهر وغيره بغير إناء ولا يد – وتحريم استعمال إناء الذهب والفضة في الشرب والأكل والطهارة وسائر وجوه الاستعمال


وعن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: حَضَرَتِ الصَّلاَةُ فقامَ مَن كَانَ قَريبَ الدَّارِ إِلَى أهْلِهِ، وبَقِيَ قَوْمٌ، فأُتِيَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – بِمَخْضَبٍ مِنْ حِجَارَةٍ، فَصَغُرَ المخْضَبُ أنْ يَبْسُطَ فِيهِ كَفَّهُ، فَتَوَضَّأَ القَوْمُ كُلُّهُمْ. قالوا: كَمْ كُنْتُمْ؟ قَالَ: ثَمَانِينَ وزيادة.    متفق عَلَيْهِ،     هذه رواية البخاري

وفي رواية لَهُ ولمسلم: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – دَعَا بإناءٍ مِنْ ماءٍ، فَأُتِيَ بقَدَحٍ رَحْرَاحٍ ([324]) فِيهِ شَيْءٌ مِنْ ماءٍ، فَوَضَعَ أصابعَهُ فِيهِ. قَالَ أنسٌ: فَجَعلْتُ أنْظُرُ إِلَى الماءِ يَنْبُعُ مِنْ بَيْن أصَابِعِهِ، فَحَزَرْتُ مَنْ تَوضَّأ مَا بَيْنَ السَّبْعِينَ إِلَى الثَّمَانينَ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



1116. MLANGO WA INAJUZU KUNYWA KATIKA VYOMBO VYOTE VILIVYO TWAHARA (SAFI) ISPOKUWA KATIKA DHAHABU NA FEDHA NA KUJUZU KUFYONZA – KUNYWA KWA MDOMO KATIKA MAJI YA MTO NA KADHALIKA BILA KUTUMIA CHOMBO WALA MKONO – NA UHARAMU WA KUTUMIA VYOMBO VYA DHAHABU NA FEDHA KATIKA KUNYWA, KULA, KUJISAFISHA NA NJIA ZOTE ZA MATUMIZI14. MLANGO WA MAPENDEKEZO YA KUWA ANAYENYWESHA WATU NDIE ANAYEKUNYWA MWISHO.


Imepokewa na Anas  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Ulifika wakati wa Swala, ambaye nyumba yake iko karibu naye alienda kutawadha kwake, wakabaki watu (wengine). Mtume ﷺ  akaletewa beseni ya mawe ilio na maji, beseni ikawa ndogo mtu hawezi kunyosha kiganja chake ndani yake, watu wote wakatawadha.” (Mmoja katika wapokezi wa Hadîth hii anasema:) Tukamwuliza Anas: “Mulikuwa wangapi?” Akajibu: “Tulikuwa watu thamanini na ziada.” [ Wameafikiana Bukhari na Musilim ]

Riwaya nyingine ya Bukhârî na Muslim imesema: “Mtume  ﷺ aliitisha chombo cha maji, akaletewa bilauri pana ilio na maji kidogo, akavitia vidole vyake humo.” Anas amesema: “Nikawa nayatazama maji yanayochimbuka chini ya vidole vyake. Nikawakisia waliotawadha ni baina ya watu sabiini hadi thamanini.”


Begin typing your search above and press return to search.