29%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

092. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuyakimbilia Mambo ya Kheri Hadithi ya 06


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن الزُّبيْرِ بنِ عديِّ قال: أَتَيْنَا أَنس بن مالكٍ رضي اللَّه عنه فشَكوْنا إليهِ ما نلْقى من الْحَجَّاجِ. فقال: «اصْبِروا فإِنه لا يأْتي زمانٌ إلاَّ والَّذي بعْده شَرٌ منه حتَّى تلقَوا ربَّكُمْ » سمعتُه منْ نبيِّكُمْ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم .  رواه البخاري


Kutoka kwa Az-Zubayr bin ‘Adiyy amesema: Tulimuendea Anas bin Maalik Radhi za Allah ziwe juu yake tukamlalamikia hali tunayoipata kwa Al-Hajjaaj. Akatuambia: [Subirini, hakika haiji zama ila zama zilizokuja baadaye ni shari kulikoni zilizopita mpaka mkutane na Mola wenu.] Maneno haya nimeyasikia kutoka kwa Mtume wenu .    [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.