0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

117. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي ذرٍّ جُنْدَبِ بنِ جُنَادَةَ رضي اللَّه عنه قال : قلت يا رسولَ اللَّه، أيُّ الأعْمالِ أفْضَلُ ؟ قال : « الإِيمانُ بِاللَّهِ ، وَالجِهَادُ فِي سَبِيلِهِ » . قُلْتُ : أيُّ الرِّقَابِ أفْضَلُ ؟ قال : « أنْفَسُهَا عِنْد أهْلِهَا ، وأكثَرُهَا ثَمَناً » . قُلْتُ : فَإِنْ لَمْ أفْعلْ ؟ قال : « تُعينُ صَانِعاً أوْ تَصْنَعُ لأخْرَقَ » قُلْتُ : يا رسول اللَّه أرَأيتَ إنْ ضَعُفْتُ عَنْ بَعْضِ الْعملِ ؟ قال : « تَكُفُّ شَرَّكَ عَن النَّاسِ فَإِنَّها صدقةٌ مِنْكَ على نَفسِكَ »متفقٌ عليه


Kutoka  Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimuuliza Mtume ﷺ : [Ni ‘amali gani bora zaidi?  Akajibu: [Ni kumuamini Mwenyezi Mungu na kupigana Jihaad katika njia Yake.]  Nikamuuliza: Ni mtumwa gani bora zaidi wakumuachu huru ? Akasema: [Ni yule aliye mbora na mzuri kwa watu wake na mwenye thamani kubwa.] Nikamuuliza: Nisipoweza? Akajibu: [Umsaidie mwenye kuhitaji au umsaidie kazi yule ambaye hana ujuzi nayo.]  Nikamuuliza: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, waonaje ni kidhofika nisiweze kufanya baadhi ya Matendo? Akajibu: [Utaizuia shari yako isiwafikie watu; kufanya hivyo ni sadaka juu ya nafsi yako.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.