0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

093. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuyakimbilia Mambo ya Kheri Hadithi ya 07

BUSTANI YA WATU WEMA


عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « بادروا بالأَعْمال سبعاً، هل تَنتَظرونَ إلاَّ فقراً مُنسياً، أَوْ غنيٌ مُطْغياً، أَوْ مرضاً مُفسداً، أَو هرماً مُفْنداً أَو موتاً مُجهزاً أَوِ الدَّجَّال فشرُّ غَائب يُنتَظر، أَوِ السَّاعة فالسَّاعةُ أَدْهى وأَمر،»    رواه الترمذي وقال: حديثٌ حسن


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume amesema: [Zikimbilieni ‘amali njema kabla haijawafikia mambo saba. Je, mnangoja mpaka mfikwe na ufukara wenye kusahaulisha, au utajiri unaopoteza, au maradhi yenye kufisidi, au uzee uletao udhaifu wa akili, au mauti ya ghafla, au Dajjaal ambaye ndio kiumbe muovu asiyepaswa kusubiriwa, au Kiyama, na Kiyama ndio chenye balaa kubwa na uchungu mwingi zaidi!]     [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema Hadiyth hii ni Hasan]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.