0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

075. Riyadhu Swalihina Mlango wa Yakini na Kumtegemea Mwenyezi Mungu Hadithi ya 02

BUSTANI YA WATU WEMA


عَنْ ابْن عبَّاس رضي اللَّه عنهما أيْضاً أَنَّ رسول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ يقُولُ : «اللَّهُم لَكَ أسْلَمْتُ وبِكَ آمنْتُ ، وعليكَ توَكَّلْتُ ، وإلَيكَ

أنَبْتُ ، وبِكَ خاصَمْتُ . اللَّهمَّ أعُوذُ بِعِزَّتِكَ ، لا إلَه إلاَّ أنْتَ أنْ تُضِلَّنِي أنْت الْحيُّ الَّذي لا تمُوتُ ، وَالْجِنُّ وَالإِنْسُ يمُوتُونَ»   متفقٌ عليه

وَهَذا لَفْظُ مُسْلِمٍ وَاخْتَصرهُ الْبُخَارِيُ


Kutoka kwa  Abdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yao amesimulia: Mtume   alikuwa akiomba: [Ewe Mola, kwa ajili Yako nimejisalimisha, Kwako tu nimeamini, Wewe pekee nimekutegemea, Kwako tu nimerejea, kwa ajili Yako tu nakhasimiana. Ewe Mola, hakika mimi najilinda kwa utukufu Wako, hakuna Muabudiwa wa haki isipokuwa Wewe, Usinipoteze. Wewe ni Hai Usiekufa, majini na wanadamu watakufa.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله




Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.