0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

076. Riyadhu Swalihina Mlango wa Yakini na Kumtegemea Mwenyezi Mungu Hadithi ya 03


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عن ابْنِ عَبَّاس رضي اللَّه عنهما أيضاً قال : «حسْبُنَا اللَّهُ ونِعْمَ الْوكِيلُ قَالَهَا إبْراهِيمُ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم حينَ أُلْقِى في النَّارِ ، وَقالهَا مُحمَّدٌ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم حيِنَ قَالُوا: «إِنَّ النَّاسَ قَدْ جَمعُوا لَكُمْ فَاخْشَوْهُمْ فَزَادَهُمْ إيماناً وقَالُوا : حَسْبُنَا اللَّهُ وَنِعْمَ الْوكِيلُ »  رواه البخارى
وفي رواية له عن ابْنِ عَبَّاسٍ رضي اللَّه عنهما قال : « كَانَ آخِرَ قَوْل إبْراهِيمَ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم حِينَ ألْقِي في النَّارِ « حسْبي اللَّهُ وَنِعمَ الْوَكِيلُ


Kutoka kwaAbdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yao amesema tena: [Mwenyezi Mungu Anatutosha. Naye ni Mdhamini bora kabisa, neno hili alisema Nabii Ibrahim (‘Alayhis Salaam) alipotumbukizwa Motoni, na alisema Mtume pale watu walipowaambia (Waislaam): [Hakika Maquraysh wamewakusanyikia, kwa hiyo waogopeni. Lakini maneno hayo yaliwazidishia Imani na wakasema: Mwenyezi Mungu Anatutosha Naye ni Mdhamini bora kabisa.]     [Imepokewa na Bukhari]

Na katika Riwaya nyingine; kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Neno la mwisho alilolitamka Nabii Ibrahim (‘Alayhis Salaam) wakati alipotumbukizwa kwenye moto ilikuwa ni kusema: [Mwenyezi Mungu Ananitosha, Naye ni Mdhamini bora kabisa.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.