0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

051. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 27


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعَن ابْنِ مسْعُودٍ رضي اللَّه عنه أنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّهَا سَتكُونُ بَعْدِى أَثَرَةٌ وَأُمُورٌ تُنْكِرونَها ، قَالُوا : يا رسُولَ اللَّهِ فَما تَأمرُنا ؟ قالَ : تُؤَدُّونَ الْحقَّ الَّذي عَلَيْكُمْ وتَسْألونَ اللَّه الذي لكُمْ »     متفقٌ عليه

« والأَثَرَةُ : الانفرادُ بالشيْءِ عمَّنْ لَهُ فيهِ حقٌّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hakika baada yangu kutakuwepo ubinafsi na mambo ambayo hamtokubaliyana nayo.] Maswahaba wakauliza: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, kwahiyo unatuamrisha tufanye nini?” Akawaambia: [Mutaitekeleza haki inayowapasa, na mumuombe Mwenyezi Mungu ambacho ni chenu.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.