0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

052. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 28


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعن أبي يحْيَى أُسَيْدِ بْنِ حُضَيْرٍ رضي اللَّهُ عنهُ أَنَّ رَجُلاً مِنَ الأَنْصَارِ قال : يا رسولَ اللَّهِ أَلا تَسْتَعْمِلُني كَمَا اسْتْعْملتَ فُلاناً وفلاناً فَقَالَ :    « إِنَّكُمْ سَتَلْقَوْنَ بَعْدي أَثَرَةً فاصْبِرُوا حَتَّى تلقَوْنِي علَى الْحوْضِ »    متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwaAbuu Yahyaa, Usayd bin Hudhwayr  Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:Kwamba Mtu mmoja katika Answaari alimwambia Mtume : “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mbona hunifanyi kuwa kiongozi kama ulivyomfanya fulani?” Akamwambia: [Hakika baada yangu mtaona ubinasfi, basi subirini mpaka mkutane nami katika hodhi.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.