June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
{قال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَكُونُوا مَعَ الصَّادِقِينَ
{وقال تعالى : {وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ
{وقال تعالى : {فَلَوْ صَدَقُوا اللَّهَ لَكَانَ خَيْرًا لَّهُمْ
مقدمة والتعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli.] [Tawba:119]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na wasemao kweli wanaume na wanawake,] [Al-Ah’zab:35]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Basi wakiwa ni wakweli kwa Mwenyezi Mungu, bila ya shaka itakuwa ni kheri kwao.] [Muh’ammad:21]