0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

054. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ukweli Hadithi ya 01

BUSTANI YA WATU WEMA


عَن ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللَّه عنه عن النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّ الصَّدْقَ يَهْدِي إِلَى الْبِرِّ وَإِنَّ الْبِرَّ يَهْدِي إِلَى الجَنَّةِ ، وَإِنَّ الرَّجُلَ ليصْدُقُ حَتَّى يُكتَبَ عِنْدَ اللَّهِ صِدِّيقاً ، وإِنَّ الْكَذِبَ يَهْدِي إِلَى الفجُورِ وَإِنَّ الفجُورَ يَهْدِي إِلَى النَّارِ ، وَإِنَّ الرَّجُلَ لَيَكْذِبُ حَتَّى يُكتَبَ عِنْدَ اللَّهِ كَذَّاباً »    متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى




Kutoka kwa Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ kuwa amesema: [Hakika ukweli unaongoza katika wema, na hakika wema huongoza hadi Peponi na mtu ataendelea kusema ukweli mpaka aandikiwe mbele ya Mwenyezi Mungu kuwa ni mkweli. Na hakika uongo unaongoza katika uovu, na hakika uovu unapeleka motoni, na mtu ataendelea kusema uongo mpaka aandikiwe mbele ya Mwenyezi Mungu kuwa ni muongo.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.