0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

055. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ukweli Hadithi ya 02


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ أبي مُحَمَّدٍ الْحَسنِ بْنِ عَلِيِّ بْنِ أبي طَالِبٍ ، رَضيَ اللَّهُ عَنْهما ، قَالَ حفِظْتُ مِنْ رسولِ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « دَعْ ما يَرِيبُكَ إِلَى مَا لا يَريبُكَ ، فَإِنَّ الصِّدْقَ طُمأنينَةٌ، وَالْكَذِبَ رِيبةٌ »     رواه التِرْمذي وقال : حديثٌ صحيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa  Abuu Muhammad, Al-Hasan bin ‘Alliy bin Abiy Twaalib Radhi za Allah ziwe juu yao amesema: Nimehifadhi kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu maneno haya: [Acha linalokutia shaka ufuate lisilokutia shaka; hakika ukweli ni utulivu na uongo ni mashaka.] [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema Hadithi hii ni Hasan]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.