0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

05. MLANGO WA KUCHUNGA (KUMUOGOPA MUNGU KWA SIRI NA DHAHIRI)


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


{قَالَ اللَّه تعالى : {الَّذِي يَرَاكَ حِينَ تَقُومُ وَتَقَلُّبَكَ فِي السَّاجِدِينَ
{وقَالَ تعالى : {وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ
{وقَالَ تعالى : {إِنَّ اللَّهَ لَا يَخْفَىٰ عَلَيْهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلَا فِي السَّمَاءِ
{وقَالَ تعالى : {إِنَّ رَبَّكَ لَبِالْمِرْصَادِ
{وقَالَ تعالى : {يَعْلَمُ خَائِنَةَ الْأَعْيُنِ وَمَا تُخْفِي الصُّدُورُ
والآيات في الباب كثيرة معلومة


مقدمة باب المراقبة



التعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى



Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Ambaye anakuona unapo simama,Na mageuko yako kati ya wanao sujudu.]     [Suurat Shu’araa:218-219]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Naye (Mwenyezi Mungu) yu pamoja nanyi popote mlipo]      [Suuratul Al H’adiid:4]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni]    [Suurat Al ‘Imran:5]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.]    [Surat Al-Fajr:14]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[(Mwenyezi Mungu) anajua khiyana ya macho na yanayo ficha vifua.]    [Ghaafir:19]

Na Aya katika Mlango huu ni nyini na zajulikana.


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.