0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

033. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 09


BUSTANI YA WATU WEMA


وعَنْ عائشَةَ رضي اللَّهُ عنها أنَهَا سَأَلَتْ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَن الطَّاعونِ ، فَأَخبَرَهَا أَنَهُ كَانَ عَذَاباً يَبْعَثُهُ اللَّه تعالى عَلَى منْ يَشَاءُ ، فَجَعَلَهُ اللَّهُ تعالَى رحْمةً للْمُؤْمنِينَ ، فَلَيْسَ مِنْ عَبْدٍ يَقَعُ في الطَّاعُون فَيَمْكُثُ في بلَدِهِ صَابِراً مُحْتَسِباً يَعْلَمُ أَنَّهُ لاَ يُصِيبُهُ إِلاَّ مَا كَتَبَ اللَّهُ لَهُ إِلاَّ كَانَ لَهُ مِثْلُ أَجْرِ الشَّهِيدِ »    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Aaishah Radhi za Allah ziwe juu kwamba yeye alimuuliza Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ kuhusu ugonjwa wa tauni (kipindupindu), akamwambia kuwa: [Ilikuwa ni adhabu ambayo Mwenyezi Mungu ﷻ Akimpelekea Anayemtaka; kisha Mwenyezi Mungu Akaijaalia kuwa ni Rahma kwa Waumini. Hakuna mja yoyote yule atakaepata na tauni akakaa katika mji wake ule kwa kusubiri na kutaraji thawabu akijua kuwa hakuna kitakachompata ila alichoandikiwa na Mwenyezi Mungu, isipokuwa atakuwa na ujira mfano wa (aliyekufa) shaahid.]     [Imepokewa na Bukhari]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.