0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

031. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 07


BUSTANI YA WATU WEMA


وَعَنْ أَنَسٍ رَضِي اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : مَرَّ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِامْرَأَةٍ تَبْكِي عِنْدَ قَبْرٍ فَقَال : «اتَّقِي الله وَاصْبِرِي » فَقَالَتْ : إِلَيْكَ عَنِّي ، فَإِنِّكَ لَمْ تُصَبْ بمُصِيبتى، وَلَمْ تعْرفْهُ ، فَقيلَ لَها : إِنَّه النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَأَتتْ بَابَ النَّبِّي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فلَمْ تَجِد عِنْدَهُ بَوَّابينَ ،فَقالتْ : لَمْ أَعْرِفْكَ ، فقالَ : « إِنَّما الصَّبْرُ عِنْدَ الصَّدْمَةِ الأولَى »    متفقٌ عليه

  وفي رواية لمُسْلمٍ : « تَبْكِي عَلَى صَبيٍّ لَهَا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Alipita Mtume ﷺ akamuona mwanamke akilia mbele ya kaburi. Akamwambia: [Mche Mwenyezi Mungu na usubiri.] Yule mwanamke akasema: “Niondokee, kwani hujapatwa na msiba kama wangu!” Wala hakumjua. Akaambiwa: Huyo alikuwa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, akaenda hadi kwenye mlango wa Mtume  na hakuwakuta walinzi, akamwambia (Mtume ): “Nilikuwa sijakujua kama ni wewe.” Mtume  akamwambia: [Hakika subira ni mwanzo wa kupatwa na msiba.]    [Imepokewa na Bukhariy na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Muslim imesema: [Alikuwa akimlilia mwanawe.]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.