0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

026. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 02


BUSTANI YA WATU WEMA


وَعَنْ أبي سَعيدٍ بْن مَالِك بْن سِنَانٍ الخُدْرِيِّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا أَنَّ نَاساً مِنَ الأنصَارِ سَأَلُوا رَسُولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فأَعْطاهُم ، ثُمَّ سَأَلُوهُ فَأَعْطَاهُمْ ، حَتَّى نَفِد مَا عِنْدَهُ ، فَقَالَ لَهُمْ حِينَ أَنَفَقَ كُلَّ شَيْءٍ بِيَدِهِ : « مَا يَكُنْ مِنْ خَيْرٍ فَلَنْ أدَّخِرَهُ عَنْكُمْ ، وَمَنْ يسْتعْفِفْ يُعِفَّهُ الله وَمَنْ يَسْتَغْنِ يُغْنِهِ اللَّهُ ، وَمَنْ يَتَصَبَّرْ يُصَبِّرْهُ اللَّهُ . وَمَا أُعْطِىَ أَحَدٌ عَطَاءً خَيْراً وَأَوْسَعَ مِنَ الصَّبْرِ »    مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Saiyd, Sa’ad bin Maalik bin Sinaan Al-Khudriy Radhi za Allah ziwafikie wao wawili amesema: “Watu fulani miongoni mwa Answaar walimuomba Mtume , naye akawapa, kisha wakamuomba tena, naye akawapa mpaka akamaliza chote alichokuwa nacho. (kisha) Akawaambia baada ya kuwa ameshatoa kila kitu: [Kheri yoyote niliyonayo siwezi kuwanyima, mwenye kujizuia kuomba Mwenyezi Munga Atamlipa kwa kutoomba, mwenye kutosheka basi na Mwenyezi Mungu Atamtosheleza zaidi, na Atakae jisubirisha basi na Mwenyezi Mungu Atamzidishia subira. Hakuna yoyote yule aliyepewa zawadi bora na iliyokunjufu zaidi kulikoni subira.]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.