0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

025. Riyadhu Swalihina Mlango wa Subira Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أبي مَالِكٍ الْحَارِثِ بْنِ عَاصِم الأشْعريِّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « الطُّهُورُ شَطْرُ الإِيمَان ، وَالْحَمْدُ للَّه تَمْلأَ الْميزانَ وسُبْحَانَ الله والحَمْدُ للَّه تَمْلآنِ أَوْ تَمْلأ مَا بَيْنَ السَّموَات وَالأَرْضِ وَالصَّلاَةِ نورٌ ، والصَّدَقَةُ بُرْهَانٌ ، وَالصَّبْرُ ضِيَاءٌ ، والْقُرْآنُ حُجَّةُ لَكَ أَوْ عَلَيْكَ . كُلُّ النَّاس يَغْدُو، فَبِائِعٌ نَفْسَهُ فمُعْتِقُها ، أَوْ مُوبِقُهَا»     رواه مسلم


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى






Kutoka kwa Abuu Maalik, Al-Haarith bin ‘Aaswim Al-Ash’ariy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Udhu ni nusu ya Imani, (na kusema:) AlhamduliLLaah hujaza mizani, (na kusema) Subhaana Allaah wal-HamduliLLaah hujaza baina ya mbingu na ardhi, na Swala ni nuru, na Sadaka ni hoja, na Subira ni mwangaza na Qur’ani ni hoja ya kukuokoa au kukuangamiza. Kila mtu huifanyia ‘amali nafsi yake, kuna mwenye kujiuza, mwenye kujiacha huru au mwenye kujiangamiza.]      [Imepokewa na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.