0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

03. MLANGO WA SUBIRA


BUSTANI YA WATU WEMA


{قال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اصْبِرُوا وَصَابِرُوا

{قال اللَّه تعالى: {وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوْفِ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الْأَمْوَالِ وَالْأَنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ ۗ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ

{وقال تعالى :  {إِنَّمَا يُوَفَّى الصَّابِرُونَ أَجْرَهُم بِغَيْرِ حِسَابٍ

{وقال تعالى : {وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الْأُمُورِ

{وقال تعالى: {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ

{وقال تعالى:  {وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ حَتَّىٰ نَعْلَمَ الْمُجَاهِدِينَ مِنكُمْ وَالصَّابِرِينَ وَنَبْلُوَ أَخْبَارَكُمْ


 مقدمة والتعليق على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد السبت حفظه الله تعالى



Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Subirini, na shindaneni kusubiri,]      [Suurat Al ‘Imran:200]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri]      [Al-Baqara:155]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu.]       [Azzumar:10]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.]    [Ash-shuura:43]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Takeni msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanao subiri.]    [Al-Baqara:153]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na bila ya shaka tutakujaribuni mpaka tuwadhihirishe wapignao Jihadi katika nyinyi na wanao subiri. Nasi tutazifanyia mtihani khabari zenu.]       [Muh’ammad:31]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.