0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

01. MLANGO WA IKHLASI NA KULETA NIA KATIKA MATENDO YOTE, MANEO HALI ZA DHAHIRI NA ZA SIRI


باب الإخلاص وإحضار النية في جميع الأعمال والأقوال البارزة والخفية


قال الله تعالي: {وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا اللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ حُنَفَاءَ وَيُقِيمُوا الصَّلاةَ وَيُؤْتُوا الزَّكَاةَ وَذَلِكَ دِينُ الْقَيِّمَةِ}  البينة: 5

وقال تعالي: {لَنْ يَنَالَ اللَّهَ لُحُومُهَا وَلا دِمَاؤُهَا وَلَكِنْ يَنَالُهُ التَّقْوَى مِنْكُمْ}   الحج: من الآية37

وقال تعالي {قُلْ إِنْ تُخْفُوا مَا فِي صُدُورِكُمْ أَوْ تُبْدُوهُ يَعْلَمْهُ اللَّهُ}   آل عمران: من الآية29


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



MLANGO WA IKHALASI NA KULETA NIA KATIKA MATENDO YOTE,MANENO HALI YA DHAHIRI NA YA SIRI


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu

[Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti]   [Al Bayyinah:5]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Nyama zao hazimfikii Mwenyezi Mungu wala damu zao, lakini unamfikia uchamngu wenu]     [Al Hajj:37]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Sema: Mkificha yaliyomo vifuani mwenu au mkiyafichua Mwenyezi Mungu anayajua]   [Al Imraan: 29]


 SIKILIZA UTANGULI WA KITABU HIKI NA DR.ISLAM



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.