0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

011. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 11


BUSTANI YA WATU WEMA


وَعَنْ أبي الْعَبَّاسِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عبَّاسِ بْنِ عَبْدِ الْمُطَِّلب رَضِي الله عنهما، عَنْ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم  ، فِيما يَرْوى عَنْ ربِّهِ ، تَبَارَكَ وَتَعَالَى قَالَ : «إِنَّ الله كتَبَ الْحسناتِ والسَّيِّئاتِ ثُمَّ بَيَّنَ ذلك : فمَنْ همَّ بِحَسَنةٍ فَلمْ يعْمَلْهَا كتبَهَا اللَّهُ عِنْدَهُ تَبَارَكَ وَتَعَالَى عِنْدَهُ حسنةً كامِلةً وَإِنْ همَّ بهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللَّهُ عَشْر حَسَنَاتٍ إِلَى سَبْعِمَائِةِ ضِعْفٍ إِلَى أَضْعَافٍ كثيرةٍ ، وَإِنْ هَمَّ بِسيِّئَةِ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللَّهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كامِلَةً ، وَإِنْ هَمَّ بِها فعَمِلهَا كَتَبَهَا اللَّهُ سَيِّئَةً وَاحِدَةً»     متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa  Abdullah bin Abbas Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amepokea kutoka kwa  Mtume : katika aliyopokea kutoka kwa Mola wake [Hakika Mwenyezi Mungu ameandika mema na mabaya,kisha akabainisha hayo: Atakaefanya hamu ya kutenda jema kisha asitende basi Mwenyezi Mungu atamuandikia kwake jema moja kamili,na akilifanyia hamu kisha akalitenda basi Mwenyezi Mungu atamuandikia mema kumi hadi nyongeza mia saba na nyongeza nyingi zaidi.Na akifanya hamu ya kutenda baya kisha asilitende basi Mwenyezi Mungu atamuandikia jema kamili,na akifanya hamu ya kulitenda kisha akalitenda Mwenyezi Mungu atamuandikia baya moja.]      [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.