0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

001. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 01


وعن أمير المؤمنين أبي حفص عمر بن الخطاب بن نفيل بن عبد العزي بن رباح بن عبد الله بن قرط بن رزاح بن عدي بن كعب بن لؤس بن غالب القرشي العدوي ـ رضي الله عنه ـ قال: سمعت رسول الله صلي الله عليه وسلم يقول: [إنما الأعمال بالنيات وإنما لكل امري ما نوي فمن كانت هجرته إلي الله ورسوله، فهجرته إلي الله ورسوله، ومن كانت هجرته لدنيا يصيبها، أو امرأة ينكحها، فهجرته إلي ما هاجر إليه] ؛

متفق على صحته؛ رواه إماما المحدثين: أبو عبد الله محمد بن إسماعيل بن إبراهيم ابن المغيرة بن بردزبة الجعفي البخاري، وأبو الحسين

مسلم بن الحجاج ابن مسلم القشيري النيساوي ـ رضي الله عنهما ـ في صحيحيهما اللذين هما اصح الكتب المصنفة


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله




Kutoka kwa Amiri wa Waumuni, Abu Hafs ‘Umar Ibn Al Khattaab Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake ambaye alisema : Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu Rehma na Amani ziwe juu yake akisema: “Hakika kuswihi kwa amali huzingatiwa nia. na Hakika kila mtu atalipwa kwa alilonuwia, ambae kugura kwake ni  kwa ajili ya Mwenyezi Mungu  na Mtume wake, basi kugura kwake itakuwa ni kwa ajili ya Mwenyzi Mungu na Mtume wake., na yule ambae kugura kwake ni kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kumuoa mwanamke (Fulani) basi kugura kwake itakuwa ni kwa aliloliendea “.

Imesimuliwa na Maimam wawili mabingwa wa hadithi Abu Abdalla Muhammad Ibn Ismail Ibn Ibrahim Ibn Mughiyra Ibn Bardizbah Al Bukhari na Abu Al Husayn Muslim Ibn Al-Hajjaj Ibn Muslim Al Qushayri An-Naysaburi, katika sahihi zao mbili ambavyo ni vitabu vya kutegemewa.


 SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM 



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.