0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

002. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 02

 


وعن أم المؤمنين أم عبد الله عائشة رضي الله عنها قالت: قال رسول الله صلي الله عليه وسلم: [يغزو جيش الكعبة فإذا كانوا ببيداء من الأرض يخسف بأولهم وآخرهم] قالت: يا رسول الله، كيف تخسف بأولهم وآخرهموفيهم اسوافهم، ومن ليس منهم؟ قال: [يخسف بأولهم وآخرهم ثم يبعثون على نياتهم]     متفق عليه   هذا لفظ البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Kutoka kwa Mama wa Waumuni, Aisha  Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume: [Jeshi litataka kuivamia Al Kaaba,Litakapofika katika Ardhi ya jangwa,wote wataangamizwa] Aisha radhi za Allah ziwe juu yake akauliza Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu,Vipi waangamizwe na miongoni mwao muna raia na ambao hawakuwa miongoni mwao? (Mtume ) Akasema (kumjibu): [Wote wataangamizwa kisha watafufuliwa kulingana na nia zao”]  [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.