0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

003. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ikhlas Hadithi ya 03


[وعن عائشة – رضي الله عنها- قالت: قال النبي صلي الله عليه وسلم [لا هجرة بعد الفتح ولكن جهاد ونبة وإذا استفرتم فانفروا

متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Kutoka kwa bibi, Aisha  Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume ﷺ: [Hakutakuwa tena na Hijra baada ya kukombolewa mji wa Makkah, lakini ni Jihadi na Nia (Yaani mtu afanye matendo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu) na mukitakiwa mutoke mwende kupigana jihadi (na kiongozi wa Kiisalmu) basi tokeni mwende jihadi]  [Imepokelewa na Bukhari na Muslim].


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.