وعن أم المؤمنين أم عبد الله عائشة رضي الله عنها قالت: قال رسول الله صلي الله عليه وسلم: [يغزو جيش الكعبة فإذا كانوا ببيداء من الأرض يخسف بأولهم وآخرهم] قالت: يا رسول الله، كيف تخسف بأولهم وآخرهموفيهم اسوافهم، ومن ليس منهم؟ قال: [يخسف بأولهم وآخرهم ثم يبعثون على نياتهم] متفق عليه هذا لفظ البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
Kutoka kwa Mama wa Waumuni, Aisha Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume: [Jeshi litataka kuivamia Al Kaaba,Litakapofika katika Ardhi ya jangwa,wote wataangamizwa] Aisha radhi za Allah ziwe juu yake akauliza Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu,Vipi waangamizwe na miongoni mwao muna raia na ambao hawakuwa miongoni mwao? (Mtume ﷺ) Akasema (kumjibu): [Wote wataangamizwa kisha watafufuliwa kulingana na nia zao”] [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM