0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

TAFAUTI KATI YA AINA TATU ZA IBADA YA HIJA

TAFAUTI KATI YA AINA TATU ZA IBADA YA HIJA

Tafauti ilioko kati ya Aina Tatu ya Ibada ya hija

Tamattu Qiraan Ifraad
Anahirimia mara mbili, ya kwanza kwa ajili ya ‘Umra kisha atahalalika baada ya hapo, kisha anahirimia kwa ajili ya Hijja Atahirim hijja na umra kwa pamoja Atahirimia hija mara moja pekeyake
Anapohirimia kwa ajili ya Hijja anasema: “Nimekuitikia ewe Mola wangu Hijja” au anasema: “Nimekuitikia ewe Mola wangu ‘Umra na nitapumzika kwayo hadi Hijja” Atasema wakati wa kuhirimia (Naitikikia umra na hijja) Atasema wakati wa kuhirimia (Naitikia hijja)
Inawajibika kuchinja Inawajibika kuchinja Hawajibiki kuchinja
Kuna twawafu mbili, ya kwanza kwa ajili ya ‘Umra na ya pili kwa ajili ya Hijja Inalazimu twawafu moja nayo ni twawafu ya hajji Inalazimu twawafu moja nayo ni twawafu ya hajji
Kuna sai’ mbili, ya kwanza kwa ajili ya ‘umra na ya pili kwa ajili ya Hijja Ina sai moja peke nayo ni sai ya hijja Ina sai moja peke nayo ni sai ya hijja


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.