MAISHA YA SAYYIDNA ALI KATIKA UHAI WA MTUME ﷺ
MAISHA YAKE KATIKA UHAI WA MTUME ﷺ Mtume ﷺ alimuoza ‘Ali (r.a.) binti yake, Fatimah (r.a.), katika mwaka wa pili wa hijra. Akamtayarishia nguo laini na mto wa ngozi ambao uliwekwa majani ... Read More