0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

MASHIA WANAMKOSOA ALLAH KATIKA MAAMUZI YAKE

MASHIA WANAMKOSOA ALLAH KATIKA MAAMUZI YAKE


Mwanachuoni Tegemezi wa Kishia Ayatollah Khomeini amkosoa Allah (Azza Wajjala)kwakuto weka Aya zinazo mtaja kwa wazi kabisa kuwa Ali na wanae ndio Makhalifa baada ya Mtume Muhammad(Salla Allaahu alayhi wasallam).

• Amesema Bwana Khomeini:-

“إنه كان من أن ينزل الله آية تؤكد كون علي بن أبي وأولاده أئمة من بعد الني (صلى الله عليه وسلم ),إذ أن ذلك كان كفيلا بعدم ظهور أي خلاف حول هذه المسألة”

كشف الأسرار ص 124

“Kwa hakika ili kuwa ni jambo nzuri kwa Allaah kushusha Aya inayo tilia mkazo kuwa Ali na Watoto wake ndio Viongozi baada ya Mtume Muhammad(Salla Allaahu alayhi wasallam),kufanya hivyo kungetosha kutotokea Ikhitilaaf ya aina yoyote katika jambo hili (Ukhalifa)”.

MAELEZO

• Ndugu muislamu unapo ambiwa kuwa Itikaadi ya Ushia ni Itikaadi za Kikafiri ,Itikadi zenyewe ni kama hizi ,Sheikh wa Kishia anamkosoa Allaah kwa kuto weka Aya inayo mtaja Ali (amridhie) na wanawe(Allaah awaridhie) kuwa ndio Makhalifa baada ya Mtume Muhammad(Salla Allaahu alayhi wasallam).

• Bila shaka kauli hii ni Kufuru na Jambo lenye kumtoa mtu katika Uislamu ,Ndugu muislamu jiepushe na Ushia.

Wabillah Taufiiq

Muandishi:-
Ally Yahya Al-Qusheiry
Dar es Salaam,Tanzania


 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.