0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

302. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mtu Kuwajibika Kumuamrisha Mkewe Na Watoto Wake 05

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي ثُرَيَّةَ سَبْرَةَ بن معبدٍ الجُهَنِيِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -:  {عَلِّمُوا الصَّبِيَّ الصَّلاةَ لِسَبْعِ سِنِينَ، وَاضْرِبُوهُ عَلَيْهَا ابْنَ عَشْرِ سِنِينَ} حديث حسن رواه أَبُو داود والترمذي، وَقالَ: {حديث حسن}

ولفظ أَبي داود:    {مُرُوا الصَّبِيَّ بِالصَّلاةِ إِذَا بَلَغَ سَبْعَ سِنِينَ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Thurayyah, Sabrah bin Ma’bad al-Juhany Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume   amesema: [Mfundisheni mtoto kuswali akiwa ana umri wa miaka saba, mumchape atakapoiacha akifikia umri wa miaka kumi.]    Hadîth hii ni Hasan, imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy na akasema: “Hadîth hii ni Hasan.”

Katika matini ya Abû Dâwûd imesema: “Mfundisheni mtoto kuswali atakapofikia umri wa miaka saba…


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.