0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KUZALIWA KWA ‘UMAR (R.A.) KUKUWA KWAKE

KUZALIWA KWA ‘UMAR (R.A.) KUKUWA KWAKE

Jina lake ni ‘Umar ibn Al-Khattab ibn Nufayl. Kutoka katika Bani ‘Adiy ibn Ka’ab.

Na mama yake ni Hantamah bint Hashim ibn AI-Mughirah ,kutoka katika Bani Makhzum (naye ni binti ya ami yake Khalid ibn Walid).

Alizaliwa ‘Umar (r.a.) huko Makkah kabla ya Hijra Kwa miaka 40.

Alikulia katika nyumba ambayo inajulikana kwa utawala na utukufu, akainukia katika ukweli, uaminifu, ukarimu na ushujaa katika kusema haki. Naye alikuwa balozi wa Maquraish, akitumwa kwenda katika kabila nyingine kukitokea vita au tofauti baina yao.

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.