0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KUZALIWA KWA ABU BAKAR AS-SWIDDIQ NA KUKUA KWAKE

KUZALIWA KWAKE , KUKUA KWAKE NA F ADHlLA ZAKE.

Jina lake ni ‘Abdullah ibn ‘Uthman ibn Abi Quhafah, kutoka katika Bani Taym. Na mama yake ni Ummul Khayr Salma bint Swakhar, kutoka katika Bani Taym vile vile.

Alizaliwa Abu Bakr (r.a.) katika mji mtukufu wa Makkab.,baada ya Mwaka wa Ndovu kwa miaka miwili na miezi kadha na alikuwa mdogg kwa umri kuliko Mtume ﷺ kwa miaka miwili na miezi kadha. Na alikuwa Abu Bakr (r.a.) ni mwenye kusifika kwa tabia njgma kutoka utotoni mwake, hakusujudi sanamu wala hakunywc0)pombe. Alishughulika na biashara na alikuwa ni mjuzi wa nasaba. Na walikuwa Maquraish wakimpenda kwa ajili ya elimu yake, biashar ak, na uzuri wa kutangamana kwake na watu. Na alikuwa akihukumu kesi ya mauaji na diyah.
Na alikuwa Abu Bakr (r.a.) mnyenyekevu na mpole, na ni rafiki wa Muhammad ibn ‘Abdullah ﷺ.

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.