0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

KUFARIKI KWA BABU YAKE MTUME ﷺ


KUFARIKI KWA BABU YAKE MTUME ﷺ


Baada ya miaka minane na miezi miwili na siku kumi katika umri wake, Mtume alifiwa na babu yake Abdul Muttwalib huko Makka. Kabla ya kufa kwake aliona ni bora akayarithisha malezi ya mjukuu wake kwa ammi yake Abi Twalib, ambaye ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja na baba yake *


* Arraheeq Al Makhtuum 86

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.