TUMERIDHIKA NA AL-AMIIN Mzozo uliendelea kwa muda wa siku nne au tano hivi na ukazidi mpaka kufikia hatua ya kutaka kuzusha vita kubwa kabisa katika ... Read More
MAISHA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ KABLA YAKUPEWA UTUME Mtume ﷺ wakati wa ujana wake alikuwa na tabia nzuri katika jamii. Alikuwa mtu wa kuigwa kwa fikra ... Read More
KATIKA PANGO LA HIRAA Wakati Mtume ﷺ alipofikisha umri wa miaka arobaini, alikuwa ni mmoja miongonimwa watu waliokomaa kiakili na kifikra kati ya jamaa zake, yeye ... Read More
KUPEWA UTUME NA KUSHUKA KWA WAHYI Mtume ﷺ alipotimiza umri wa miaka arobaini, ambayo ni kilele cha ukamilifu na ndio miaka ya kupelekwa Mitume, alama za ... Read More
SIMULIO LA BIBI AISHA KATIKA KUTEREMKA KWA WAHYI Hebu tumsikilize Aisha mtoto wa Abubakar Siddiq radhi za Allah ziwe juu yake akitueleza kisa cha tukio hili ... Read More
KWENDA KWA WARAQAH BIN NAWFAL Khadija (r.a) akaondoka na kwenda naye kwa Waraqah bin Nawfal bin Assad bin Abdul-Uzza, mtoto wa ammi yake Khadija. Huyu alikuwa ... Read More
KIPINDI CHA KUKATIKA KWA WAHYI Ibni Saad amepokea kutoka kwa ‘lbn Abbas maneno yaliyohusu “kukatika kwa Wahyi ambayo’ kimsingi yanafahamisha kuwa kipindi hicho kilikuwa ni cha siku nyingi. Baada ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Ibni Hajar anasema: ‘Kukatika kwa Wahyi kulikuwa kumekusudiwa kumuandaa Mtume ﷺ na kumuondoa khofu aliyokuwa nayo, na ili ipatikane shauku ya kurejea huo wahyi.(1) Baada ... Read More
AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Kabla hatujaingia kufafanua kipindi cha ujumbe na Utume, tunaona kuwa ni bora kwanza tukaelewa hatua za Wahyi ambao ndio chimbuko la Ujumbe na ... Read More