0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 5 ATAKAYEZUA KITU KATIKA DINI

الحديث الخامس


” من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد”


 عن أُمِّ المُؤمِنينَ أُمِّ عَبْدِ الله عائِشَةَ رَضي اللهُ عنها قالَتْ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [ مَنْ أَحْدَثَ في أَمْرِنا هذا ما لَيْسَ منهُ فَهُوَ رَد

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ وَفِي رِوَايَةٍ لِمُسْلِمٍ

[مَن عَمِلَ عَمَلاً لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُوَ رَدٌّ ]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 5


ATAKAYEZUA KITU KISICHOKUWEMO KATIKA JAMBO HILI LETU KITAKATALIWA


Kutoka kwa Mama wa Waislamu Ummu Abdallah ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema: Mtume wa Mwenyezi Mungu kasema:

[Yule anayezua kitu kisichokuwemo (kisichokuwa) katika jambo letu hili (DINI) kitakataliwa].

[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim.]

Na katika usimulizi mwengine wa Muslim inasema hivi:

[Yule anayetenda kitendo ambacho hakikubaliani na jambo letu kitakataliwa.]


Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.