0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 23 TOHARA NI NUSU YA IMAAN


الحديث الثالث والعشرون


“االطهور شطر الإيمان”


عن أبي مالكٍ الحارِثِ بنِ عاصِمٍ الأَشْعَرِيِّ رضي اللهُ عنهُ قال : قال رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم: [الطُّهُورُ شَطْرُ الإِيَمانِ، والحمدُ لِلهِ تَمْلأُ الْمِيزَانَ، وسُبْحانَ اللهِ والحمدُ لِلهِ تَمْلآنِ – أو تَمْلأُ – ما بَيْنَ السَّمآءِ والأرضِ، والصَّلاةُ نورٌ، والصَّدَقَةُ بُرْهانٌ، والصَّبْرُ ضِيَاءٌ، والْقُرآنُ حُجَّةٌ لَكَ أو عَلَيْكَ، كُلُّ النَّاسِ يَغْدو، فَبائعٌ نَفْسَهُ، فَمُعْتِقُها أَو مُوبِقُها]

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 23


TOHARA NI NUSU YA IMAAN


Kutoka kwa Abu Malik Al-Harith Ibn ‘Asim Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake  alisema, kasema Mtume wa Mwenyezi Mungu [Tohara ni nusu ya Imaan. Na AlhamduliLlahi inajaza mizani, na SubhaanaAllah Wal-hamduliLlah inajaza baina ya mbingu na ardhi. Swala ni nuru, Sadaka ni ushuhuda, Subira ni mwangaza, na Qur’aan ni hoja yako au dhidi yako. Kila mtu anaianza siku yake akiichuuza nafsi yake, aidha huiacha huru au anaisambaratisha.]     [Imepokelewa na Muslim]


Sikiliza sherehe ya Hadithi hii sehemu ya 01 Dr.Islam



Sikiliza sherehe ya Hadithi hii sehemu ya 02 Dr.Islam


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.