0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 18 KUWA NA TABIA NJEMA

الحديث الثامن عشر


“اتق الله حيثما كنت”

عن أبي ذَرٍّ جُنْدُب بِن جُنَادَة، وأبي عبد الرحمن مُعَاذ بِن جَبَلٍ رضي الله عنهما، عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: [اتَّقِ اللهَ حَيْثُما كنْتَ، وأَتْبِعِ السَّيئةَ الحسنةَ تَمْحُها، وخالقِ الناسَ بخُلُقٍ حسنٍ

رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَقَالَ: حَدِيثٌ حَسَنٌ، وَفِي بَعْضِ النُّسَخِ: حَسَنٌ صَحِيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 18


KUWA NA TABIA NJEMA


Kutoka kwa Abu Dharr Jundub Ibn Junaada na Abu Abdur Rahmaan

Mu’adh Ibn Jabal Radhi za Allah ziwe juu yao ambao wamemnukuu Mtume  akisema:

[Muogope Mwenyezi Mungu popote pale ulipo na fuatisha kitendo kibaya kwa kitendo kizuri kitafuta na utangamane  na watu kwa tabia mzuri.]

[Imepokelewa na At-Tirmidhi na kasema kuwa ni hadithi Hasan na katika maandiko mengine imesemwa kuwa ni Hasan Sahihi]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.