0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

ARBAIN NAWAWIY HADITHI YA 17 KUWAHURUMIA WANYAMA

الحديث السابع عشر


“إن الله كتب الإحسان على كل شيء”

عن أبي يَعْلَى شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ رضي اللهُ عنه، عن رسولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم قال: [إنَّ اللهَ كَتَبَ الإِحْسانَ على كلِّ شَيءٍ، فإذا قَتَلْتُمْ فَأَحْسِنُوا الْقِتْلَةَ، وَإذَا ذَبَحْتُمْ فَأَحْسِنُوا الذِّبْحَةَ، ولْيُحِدَّ أَحَدُكُمْ شَفْرَتَهُ ولْيُرِحْ ذَبيحَتَهُ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 17


KUWAHURUMIA WANYAMA


Kutoka kwa Abu Ya’ala Shaddad Ibn Aws Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema: Mtume ﷺ kasema: [Hakika Mweyezi Mungu ameandika  wema katika kila kitu. Kwa hiyo unapochinja (mnyama), chinja vizuri na unapochinja chinja vizuri. Basi kila mmoja wenu anoe kisu chake barabara (anapotaka kuchinja) na amuondoshee machungu (asimtese) yule mnyama anayemchinja.]

[Imepokelewa na Muslim]

SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.