الحديث الرابع عشر
” لا يحل دم امريء مسلم إلا بإحدى ثلاث”
عن ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [لاَ يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ إلاّ بإحْدَى ثَلاَثٍ: الثَّيِّبُ الزَّاني، وَالنَّفْسُ بالنّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِيِنِهِ الْمُفَارِقُ لِلْجَماعَةِ
رَوَاهُ الْبُخَارِيّ وَمُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 14
DAMU YA MUISLAMU ISIMWAGWE ISIPOKUWA KWA SABABU TATU
Kutoka kwa Ibn Mas’ud Radhi za Allah ziwe juu yake ambae alisema: Mtume ﷺ kasema :[Sihalali Damu ya Muislamu isipokuwa katika hali tatu: Mzinzi Muolewa (Mtu mzima aliyeoa/olewa), nafsi kwa nafsi (kwa mtu aliye uwa nayeye auwawe) na kwa yule anaewacha dini na akajifarikisha na jamaa (kundi).]
[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim].
SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB