BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أُسامَة رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « قُمْتُ عَلَى بابِ الْجنَّةِ ، فَإِذَا عامَّةُ مَنْ دخَلَهَا الْمَسَاكِينُ ، وأَصْحابُ الجَدِّ محْبُوسُونَ غيْر أَنَّ أَصْحاب النَّارِ قَدْ أُمِر بِهِمْ إِلَى النَّارِ . وقُمْتُ عَلَى بابِ النَّارِ فَإِذَا عامَّةُ منْ دَخَلَهَا النِّسَاءُ » متفقٌ عليه
Imepokelewa kutoka kwa Usamah radhi za Allah ziwe juu yake , kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Nilisimama katika mlango wa peponi, basi nikaona wengi walio ingia peponi ni masikini, na watu wenye hadhi na utajiri wamezuliwa isipokua watu wa motoni imeshatoka amri waingizwe motoni. Na nilisimama katika mlango wa motoni basi nikaona wengi walio ingia motoni ni Wanawake]
[Imepokelewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى