0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

257. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubora wa Waislamu wanyonge Hadithi 06


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه قال :قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « رُبَّ أَشْعثَ أغبرَ مدْفُوعٍ بالأَبْوَابِ لَوْ أَقْسمَ عَلَى اللَّهِ لأَبرَّهُ »     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume  : [Huenda mwenye nywele matifutifu anaefukuzwa Milangoni lau atamuapia Mwenyezi Mungu (amfanyie jambo) basi atamafanyia]     [Imepokewa na Muslim] 


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.