0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

256. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubora wa Waislamu wanyonge Hadithi 05


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه أَنَّ امْرأَةً سوْداءَ كَانَتَ تَقُمُّ المسْجِد ، أَوْ شَابّاً ، فَفقَدَهَا ، أو فقده رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَسَأَلَ عَنْهَا أَوْ عنْهُ ، فقالوا : مات . قال : « أَفَلا كُنْتُمْ آذَنْتُمُونِي »   إِنَّ هَذِهِ الْقُبُور مملُوءَةٌ ظُلْمةً عَلَى أَهْلِهَا ، وإِنَّ اللَّه تعالى يُنَوِّرهَا لَهُمْ بصَلاتِي عَلَيْهِمْ »    متفقٌ عليه    


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba mwanamke mweusi alikuwa akifagia Msikiti (wa Mtume ) au baro baro, Mtume akamkosa na akamulizia (Maswahaba) Wakamwambia kuwa : Amefariki Akasema (Mtume )  [Si Mungekuwa mumenijulisha]  Ni kana kwamba hawakuona umuhimu wa huyo mwanamke au huyo Kijana kisha Mtume  akasema [Nielekezeni lilipoKaburi lake] wakamuonyesha akamswalia, kisha akasema [Hakika haya makaburi yamejaa giza kwa waliomo humo na Mwenyezi Mungu alietukuka anawajazia nuru kwa Swala yangu juu yao]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim] 


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.