0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

121. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 05


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي ذرٍّ رضي اللَّه عنه قال : قال لي النبيُّ صلى اللَّه عليه وآله وسلم : «لاَ تَحقِرنَّ مِن المعْرُوفِ شَيْئاً ولَوْ أنْ تلْقَى أخَاكَ بِوجهٍ طلِيقٍ »   رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu  alinambia mimi Mtume : [Usidharau chochote katika wema hata kama ni kukutana na ndugu yako (Muislamu) kwa uso wenye bashasha.]    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.