0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

056. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ukweli Hadithi ya 03


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عنْ أبي سُفْيانَ صَخْرِ بْنِ حَربٍ رضيَ اللَّه عنه . في حديثِه الطَّويلِ في قِصَّةِ هِرقْلُ ، قَالَ هِرقْلُ : فَماذَا يَأْمُرُكُمْ يعْني النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ أَبُو سُفْيَانَ: قُلْتُ : يقول « اعْبُدُوا اللَّهَ وَحْدَهُ لا تُشرِكُوا بِهِ شَيْئاً ، واتْرُكُوا ما يَقُولُ آباؤُكُمْ ، ويَأْمُرنَا بالصَّلاةِ والصِّدقِ ، والْعفَافِ ، والصِّلَةِ » .   متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Sufyaan, Swakhr bin Harb Radhi za Allah ziwe juu yake  amehadithia katika Hadithi yake ndefu katika kisa cha Hiraqli (Heraclius). Hiraqli akauliza: Anawaamrisha nini? Akikusudia Mtume ﷺ nikasema: Anatuambia: [Muabuduni Mwenyezi Mungu Mmoja Pekee wala msimshirikishe kwa chochote. Na muwache walivyokuwa wakisema baba zenu.] Na akituamuru kuswali, kusema kweli, kujiepusha na machafu na kuunga undugu.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.