May 1, 2024
0 Comments
باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء
عن أبي هريرة رضي الله عنه : وعنه عن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَا أَسْفَلَ مِنَ الْكَعْبَيْنِ مِنَ الإِزار فَفِي النَّار” رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI
Imepokewa na Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Kinachofika chini ya vifundo vya miguu katika kikoi, ni motoni.” [ Imepokelewa na Bukhârî .]