0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

345. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuwatendea Wema Marafiki Wa Baba Na Mama…

باب فضل بر أصدقاء الأب والأم والأقارب والزوجة وسائر من يندب إكرامه


وعن أنس بن مالك – رضي الله عنه -، قَالَ: خرجت مَعَ جرير بن عبد الله البَجَليّ – رضي الله عنه – في سَفَرٍ، فَكَانَ يَخْدُمُني، فَقُلْتُ لَهُ: لاَ تَفْعَل، فَقَالَ: إِنِّي قَدْ رَأيْتُ الأنْصَارَ تَصْنَعُ برسول الله – صلى الله عليه وسلم – شيئاً آلَيْتُ عَلَى نَفسِي أنْ لا أصْحَبَ أحَداً مِنْهُمْ إلاَّ خَدَمْتُهُ.    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas bin Mâlik Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Siku moja nilisafiri na Jarîr bin ‘Abdullâh al-Bajaly Radhi za Allah ziwe juu yake , na akawa akinitumikia (naye ni mkubwa kuliko mimi). Nikamwambia: “Usifanye hivyo.” Akaniambia: “Mimi niliwaona Ansari wakimfanyia Mtume jambo, nikaapa kuwa sitosuhubiana na yeyote miongoni mwao ela nitamtumikia.”    [Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.