DUA YA KUPANDA MNYAMA AU CHOMBO CHOCHOTE CHA KUSAFIRIA
بسم الله. الحمد لله. {سُبْحانَ الَّذِي سَخَّرَ لَنَا هَذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ * وَإِنَّا إِلَى رَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ} الحمد لله ، الحمد لله ، الحمد لله ، الله اكبر ، الله اكبر ، الله اكبر ، سبحانك اللهم إني ظلمت نفسي فاغفر لي ، فإنه لا يغفر الذنوب إلا أنت
أبو داود 3/34 والترمذي 5/501
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, ametakasika ambaye ametudhalilishia sisi hiki (chombo au huyu mnyama) na hatukuwa sisi kwacho ni wenye uwezo,nasi kwa Mola wetu tutarejeshwa. Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu , sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa njema ni za Mwenyezi Mungu; Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mwenyezi Mungu ni mkubwa; Kutakasika ni Kwako Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nimejidhulumu nafsi yangu basi nisamehe, kwani hakuna mwenye kusamehe madhambi ila Wewe] [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirimidhiy.]
DUA YA KUPANDA MNYAMA AU CHOMBO CHOCHOTE CHA KUSAFIRIA