0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

89 DUA YA KUJILINDA NA DAJJAL

DUA YA KUJILINDA NA DAJJAL

[ من حفظ عشر آيات من أول سورة الكهف عصم من الدجال ]

مسلم 1/555

Amesema Mtume ﷺ:

[Yoyote anaehifadhi kwa moyo aya kumi za mwanzo wa Suratul-Kahf atakuwa na kinga ya kujiepusha na Dajjal.]        [Imepokewa na Muslim.]

Pia ni katika Sunnah kujilinda na Mwenyezi Mungu  kutokana na fitna ya Dajjal baada ya tashahhud ya mwisho katika kila swala.

 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.